Blueberry Eye Care Softgel II
Viambato:
Blueberry Extract, Ginkgo Extract, Lutein, Riboflavin, Taurine, Grape Seed Extract, Vitamin A, Zinc
Kazi Na Faida Zake
- Huyapa macho virutubishi vyote vinavyohitajika na kuboresha mzunguko wa damu katika jicho
- Hutunza afya ya kapilari za damu, huondoa kukaza, maumivu na ukavu wa macho
- Huilinda lenzi, kuzuia na kuondoa matatizo ya macho kama kupoteza uwezo wa kuona vizuri, glaucoma inayokuja na umri mkubwa, mtoto wa jicho (cataract), presbyopia, hemoraji ya retina, pseudomyopia, amblyopia, myopia, diabetic retinopathy, retinitis pigmentosa na tatizo la kutoona usiku n.k.
- Huboresha uwezo wa kuona na kuongeza uwezo wa kupambanua vitu nyenye maumbo madogo sana.
Yafaa Kwa:
- Watu wanaofanya kazi kwenye mazingira hatarishi, kwa mfano, watu wa IT, wanaofanya kazi kwenye kompyuta, madereva, wanaofanya kazi kwenye mazingira ya mwanga mkali au mwanga hafifu,, wanaotazama TV kwa muda mrefu;
- Watu wanaolenga kuzuia au kuboresha matatizo ya macho;
- Watu wanaolenga kuyalinda macho yao, kujiponya dhidi ya asthenopia na kupunguza kasi ya udhoofu wa macho.
Maelezo Muhimu:
Blueberry Extract ni kitu kinachoongoza katika kutunza macho kilichoundwa kwa molekuli ndogo ambazo hupenya kirahisi mwilini.
Ginkgo Biloba Extract ni kiungo chenye thamani kubwa sana katika tiba. Ginkgo Biloba ni aina ya kale sana ya mti ulio na historia ya miaka zaidi ya milioni 200 na elfu 5 ambapo ulikuwa ni mmoja ya miti iliyosheheni sana katika sayari yetu. Pamoja na kuwa dunia imepitia mabadiliko makubwa ya miaka bilioni 100, mti wa ginkgo biloba bado umetunza sifa zake za awali. Kwa hiyo mti huu una sifa za kipekee katika historia ya mabadiliko ya kibaolojia. Flavonoids zilizomo ndani ya ginkgo biloba zina uwezo wa kupunguza au kuyarudisha mabadiliko hasi ndani ya retina.
Lutein Lutein ni pigmenti ya carotenoid yenye rangi ya njano inayojitambulisha kwa tabia yake ya kuchuja mionzi ya rangi ya bluu na kupambana na madhara ya oksijeni. Tabia hizi zina faida kubwa ya kupunguza madhara ya oksijeni yanayotokana na mwanga kama kuzorota kutokana na umri kwa macular na cataract.
<<<<< MWANZO